Featured Posts

.SIJUI NI LAANA AU KUSAKA USTAA WA KIJINGA...HUYU NAYE ATUPIAMO ZA UT*UPU BILA AIBU....!!NI SHIDAAA...!!

SUALA hili limekuwa sugu yani kila kukicha tunakemea kwa kulizungumzia picha za wadada hawa mitandaoni, Hapo mwanzoni tulihisi walighafilika maana hakuna binadamu aliyekamilika lakini kwa sasa tumegundua kuwa wanafanya makusudi,.. Wengi hujiuliza kuwa Blogges wanapataje picha hizi? Ukweli ni kwamba picha hizi wadada hawa bila aibu huanza kuzitupia katika kurasa zao za facebook na hata Instagram wao wenyewe...
Tuungane kuupinga ufirauni huu wa hawa dada zetu na sio kuponda Bloggers eti wanadhalilisha wadada ilihali wanajidhalilisha wenyewe kwa kukosa utu...!JIHESHIMU UHESHIMIWE MDADA...Sijui tunaelekea wapi na ulimwengu wetu maadili yamemomonyoka, Tunashindwa kuutumia utandawazi vizuri.

ONYO LA MWISHO...
PICHA hizi hazina maadili kabisaaaa..! Hivyo kama unajijua hauna miaka (18+) usibofye tafadhali, Ukijipendekeza kubofya tusilaumiane..

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.