Featured Posts

WAKUBWA TU: BOYZ AND GALZ SHTUKA...ZUBAA UZIKWE...!

Je, wengi wanajua umuhimu wa kisimi katika raha ya tendo la ndoa? Wanaume na wanawake wengi tunapozungumzia suala la s3x huchukulia kwa mtazamo wa kiume (mfumo dume) kwa maana kwamba s3x ni nzuri sana kwa wanaume na si wanawake na kwamba jukumu la nani aanze ni mwanaume na kwamba wanawake hawapo powerful kwenye s3x kama wenzao wanaume.
Hata hivyo mwanamke akifahamu utendaji wa mwili wake kiungo baada ya kiungo anaweza kugundua na kuimarisha furaha ya tendo la ndoa akisaidiana na mume wake na moja ya viungo muhimu ni kisimi. Na pia anaweza kufahamu ni namna gani anaweza kufika haraka kileleni kwa kujua kisimi kilivyo muhimu kwake.

Je, nini umuhimu wa kisimi wakati wa tendo la ndoa? Wanawake wengi ili kufika kileleni(orgasm) ni muhimu sana kusuguliwa, kuchezewa kisimi. Hii ni kwa sababu uke hauwezi kumpa direct stimulation wakati wa s3x na pia mwanaume hawezi kusugua uke kiasi cha mwanamke kufika kileleni bali uke huweza kumpa mwanaume msuguano ambao humuwezesha yeye mwanaume kufika kileleni haraka.. Tutaendelea.....
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.