Kila mwaka wakati wa majira ya joto maelfu ya watu kutoka kila sehemu ya nchi ya Haiti hufanya msafara wa kiimani kuelekea kijiji cha Ville Bonheur kwenda kwenye maporomoko ya maji ya Saut d’Eau ambayo yalo karibu na Mirebalais, hii ilianza tangu 1847.
Makundi makubwa ya watu hao hufika na kufanya mambo mbalimbali ikiwemo kuomba, kucheza, na watu wenye magonjwa /mikosi huvua nguo na kuoga kwenye maji yanayoporomoka....Ili wapate kupona.Wengi huvua nguo na kuzirusha juu ikiwa ni ishara ya kuachana na mambo ya nyuma na kuanza mambo mapya.
TAHADHARI: PICHA ZIFUATAZO HAZINA MAADILI KABISA..USIJESEMA HUKUAMBIWA
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.