Featured Posts

AIBU+LAANA JAMAN...MCHUNGAJI AFARIKI AKIWA MTUPU GUEST, BIBIE ALIYEKUWA NAYE ADAI ETI ALIKUWA AKIMUOMBEA...MAZITO HAYA...JIONEE MWENYEWE HAPA

MTU aliyeaminika kuwa mchungaji wa kanisa alikutwa akiwa amefariki dunia huku akiwa utupu mnamo siku ya Jumanne usiku katika chumba cha mwanamke mjini Nairobi BuruBuru area.

Ilisemekana kwamba Mtu huyo alikuwa akijivinjari na bibie mjengoni humo lakini mwanamke alikanusha kabisa na kusema eti marehemu alikuwa akimuombea baada ya kumaliza kumuombea akaenda kupumzika ndipo umauti ukamkuta.  
VIDEO hii hapa chini...

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.