Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2000's UDSM.
Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya
kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi hicho alikuwa na mtoto mmoja.
Hakuwa mtu mzima sana kiumri bali alikuwa wa makamo hivi kama miaka ya
early 20's. Bi dada alikulia maisha ya boarding kuanzia form 1 to VI.
Pia alikuwa akimwambia jamaa kwamba hakuwa na mahusiano na wanaume mbaka
alipomaliza kidato cha sita na kukutana na
mwanaume wake wa kwanza huko
huko wilayani kwao bukoba.
Alipofika chuoni hakuonyesha dalili za kuwa
uhitaji wa mwanaume lakini siku zilivyozidi kwenda akaanza kuzoeana na
mkaka huyo rafiki yangu. Aliingia kwenye janga la kuwa na nyumba ndogo
ya kiume aka kidumu kutokana na mazoea ya karibu na utani uliovuka
mipaka na huyo jamaa yangu!!
Ni katika makundi ya kujadili (Group
Discussion) za usiku kwenye common rooms kwenye hostel fulani zilizopo
hapa hapa dsm ndipo mchezo huo ulipoanza kati ya watu hawa wawili. Jamaa
alisema kwamba, walianza kama utani kutekenyana miguuni wakiita jina la
kubip. Mdada akawa anajirusha sana kila akiguswa kumaanisha anazo za
kutosha mwilini mwake. Basi jamaa hakumtongoza wala kumshawishi kwa
maneno yeyote bali ni vile vitendo vyao wakiwa discussion pamoja na
ujumbe katika simu za mikononi siemens kama mnazikumbuka. Mchezo
uliendelea mbka siku moja bi dada akaja chumbani kwa jamaa mchana pakiwa
hakuna watu kabisa akizuga anakuja kuchukua dessa fulani. Alipofika
chumbani hapo bi mdada akamkumbatia kwa nyuma mjamaa na kumbusu. Kumbuka
hawajaongea mambo fulani ni vitendo tu mwanzo mwisho. Mjamaa akampuuzia
kiukweli hata yeye alikuwa kakolea maana mdada alijaaliwa lakini jamaa
akawa hajiamini kama kweli bi dada amefall kiukweli. Lile zoezi likapita
bila majibu yeyote.
Siku ya pili bi mdada tena akaenda na
kumfanyia vitendo vile vile vya jana. Jamaa kuona hivyo akapandisha
mzuka na kumgeukia bi dada mrs. fulani na kupeleka mdomo kwenye lips
zake. Lile zoezi lilipokelewa kwa shangwe na Mrs. Fulani na kuanza
kudendeka pale kisha kama vile kashtuka usingizini akamsukuma jamaa na
kutaka kuondoka. Mshikaji akamuwakia na kumlaumu iweje anamshawishi
alafu anamtolea nje! Mrs Fulani akamwambia vizuri havitaki pupa wala
haraka tulia kwanza..kweli bhana kuanzia siku ile jamaa akawa kapata mke
kuanzia mwaka wa 1 mbaka wa 4 anakula tu mke wa mtu. Tatizo likawa
mwanamke anawivu kwa mjamaa mbaka basi na pia alikuwa anataka kila
wanapokuwa falagha. Na kwa kweli mjamaa alikuwa anampatia haki ya mume
wake kisawa sawa. Na kutokana na uzoefu wa kimjini mjini mshikaji
alikuwa anampatia dozi popote pale katika chumba iwe kwenye viti, meza
za kusomea hata kwenye deka. Kumbe bi dada hajawahi kufanyiwa mafujo
kama yale katika maisha yake ya mavituzi ndio maana akawa anamuona jamaa
anajua kuliko mumewe..na alikuwa akimwambia kuwa jamaa yangu ni
mtaalamu kuliko maelezo. Mbaka sasa huyo bi dada anao watoto wa 3 lakini
anamsumbua mjamaa sana japo wapo mikoa na kanda tofauti. Sijui ni utamu
au!! Mhhh!!
Kwa ushuhuda huu mjue wenye wake zenu
vyuoni kaeni chonjo hasa kwa vijana hawa wa dijitali!! Na huyo ni mmoja
tu niliyepata kuhadithiwa na kuona baadhi ya mambo yalivyokuwa
yakiendelea hapo chuoni lakini najua wako wengi sana wa aina hiyo. Kwa
sasa vyuo vimekuwa vingi sijui mangapi yanafanyiaka kwa wake za watu.
Hebu fungukeni mtupe mauzoefu yenu wana jamvi.
-JF
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.