Urafiki wa Wanawake: Usiku
mmoja Mwanamke hakurudi nyumbani. Asubuhi ilipofika alimueleza mume
wake kwamba alikuwa amelala kwa rafiki yake. Mume akaamua kuwapigia
marafiki kumi wa karibu wa mke wake. Na majibu ni kwamba hakukuwa na
hata mmoja aliyefahamu juu ya hilo.
Urafiki wa Wanaume: Usiku mmoja Mwanaume hakurudi nyumbani. Asubuhi ilipofika alimueleza mke wake kwamba alikwa amelala kwa rafiki yake. Mke akaamua kuwapigia simu marafiki kumi wa karibu wa mume wake, wanane kati ya hao kumi walisema kweli alilala kwao, na wawili waliobaki walisema kuwa bado wapo nae mpaka muda huo.
Wanaume hupenda kuungana mkono minongoni mwao. Unadhani ni kwanini...?
Tafakari kwa makini utaelewa maana, ukielewa nieleze kwa faida ya wengine pia...

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.