Jamani hii inatia hadi kinyaaaa.....Hivi
Kweli Watanzania tumefikia Kiasi hiki ...Nilikuwa sijawahi ona Video
za Vigodoro, nilikuwa nasikia tu juu kwa juu ila hii Video Imenionesha
nini Huwa kinafanyika huko kwenye Vigodoro....Serikali hamjaliona hili?
Mbona Sijasikia Ikipigwa marufuku ..Hii ni sawa na Wale wacheza Uchi wa
kwenye Clubs Kule Ulaya...
..ONYO LA MWISHO. USIJESEMA HUKUAMBIWA..
..ONYO LA MWISHO. USIJESEMA HUKUAMBIWA..
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]

0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.