Haya yamezidi kuwa majanga kwani mdada huyo pichani nae hakuona shida
kujiphotoa picha hizi mbaya ambazo bongo siku hizi imekuwa kama mchezo
wa kombolela, yaani kila mtu akijisikia anajipiga na kujivujihia ye
mwenyewe, lakn swala ni moja ifike hatua vijana tujiheshimu coz sio ishu
kabisa tunawafunza nini vizaz vijavyo...
Tazama picha hiyo hapa, tumeificha kutokana na suala la kimaadili..
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.