AMA
KWA HAKIKA HAYA NIA MAJANGA...WAZAZI POPOTE MLIPO JITAHIDINI KUWAPA
ELIMU YA MAISHA WATOTO WENU WALIOPO MASHULENI NA VYUONI, MAANA ELIMU YA
DARASNI PEKEE SI MALI KITU KAMA MTU ATAFIKIA HATUA YA KUKOSA UTU NAMNA HII...!MBONA ENZI ZILE ZA MWALIMU HAYAKUWEPO HAYA?!!
TATIZO
NI NINI HASWA JAMANI EEH?!!UTANDAWAZI AU NIAJE?!LAKINI MBONA UTANDAWAZI
UPO DUNIA NZIMA...KWANINI AFRIKA TUVUKE MIPAKA KIASI HIKI?! WHY EAST
AFRIKA AND WHY MY BEAUTIFUL COUNTRY TANZANIA...OOOPS...!KANDILI YETU
TUNALAANI VITENDO KAMA HIVI...!
PICHA ZINAZOFUATA NI MAJANGA...
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.