Mambo ya Bongo land na picha za utupu...Tumechoka
kutoa risala kila siku kwa
wakina dada kama hawa hapo ambao ni kama vichwa vya panzi hawaelewi wala
hawasikii...huyu anaonekana kabisa kapiga ridhaa yake mwenyewe wala sio
bahati mbaya kama baadhi yao ambavyo hujitetea....
HUU NI UJINGA KAMA
SIO UPUMBAVU KABISA, KUTUMIA NJIA HII KUSAKA UMAARUFU KWA KUJIDHALILISHA
NAMNA HII...MAANA WENYEWE WANADAI ATI BONGO MDADA UKISHAKUWA MAARUFU
BASI UMASKINI UMESHAUAGA..SHWAINI...!
ONYO
LA MWISHO..
PICHA HAZINA MAADILI KABISA...PIA 18+ NI HIARI YAKO KUENDELEA AU
KUISHIA HAPA...USIJESEMA HUKUAMBIWA NA KUCHAFUA HALI YA HEWA MBELE YA
SAFARI PLIZZZ....
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.