Imekua ni kama desturi siku za hivi karibuni kwa wasanii au watu maarufu kufanya vituko kila uchwao...!Rihanna ni moja kati masuperstar wasioisha kumek headlines, sidhani kama kuna umuhimu wa kuwaita hawa watu maarufu sampuli hii eti ni KIOO CHA JAMII...Kwa lipi hasa?
Kutupia picha za utupu ili wpate kick au niaje?!Hapana ama ze big fan of this gal Rihanna Robin Fenty but sio siri ananiboa kwa mambo yake ya ajabu....!Superstars like ha ndio wanaosababisha hata dada zetu wa kibongo nao waige tabia hizi za kujiachia kwa mtando...INAKERA!

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]

0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.