Tukio
la aina yake ambalo ni aibu ya mwaka kwa wahusika na hata ndugu na
jamaa wa karibu wa watu hao limetokea ndani ya
gesti moja maarufu iliyopo Devi’s Corner iliyopoTandika, jijini Dar es
Salaam ambapo Baba
Salome na Julius Mwita walifumaniwa wakiwa katika hatua za mwisho za
kuingiliana kimwili. Awali ilidaiwa kuwa, mwanaume huyo na baba Salome
mwenye mke na watoto wawili wanaomtegemea kwa kila kitu, walionekana
wakiingia kwenye gesti moja ambayo pia ipo maeneo hayo hali iliyozua
maswali kwa watu waliokuwa wakiwafahamu.
Habari
ziliendelea kunyetisha kuwa watu waliwafahamu kwa namna mbili tofauti,
baba Salome ni mtulivu, mwadilifu lakini Mwita watu wanasema ana
mambo ya kutaka kuwa faragha na wanaume wenzake bila kujulikana nini
anakitaka katika usiri huo.
Madai
zaidi yakawekwa wazi kwamba, baadhi ya watu walikwenda kwenye gesti
walizokwenda wawili hao na kuulizia nini walikuwa wanakitaka, ndipo siri
ikawekwa wazi kwamba wanatafuta chumba cha kupumzika kwa siku
hiyo. Chanzo kikasema: Wambeya wakawaona wakiingia kwenye gesti ya
tukio, wakapewa chumba. Ndipo wakakimbia nyumbani kwa baba Salome na
kumtonya mkewe, mama Salome kwamba mumewe ameingia gesti.
GONGA LIKE HAPO JUUU KAMA BADO HUJALIKE PAGE YETU UPATE NEWS MUPYA HARAKA
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.