mwanadada huyo awe gumzo la mitandao hapa nchini na “kuchafua hali ya hewa” huko kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii kwa watu wanopenda na wasipoenda penzi la wawili hawa Uchunguzi uliofanya na bongomovies umebaini kuwa mashabiki wengi wa muziki na filamu hapa nchini wanapenda sana mahusiano baina ya wawil hawa (Wema na Diamond) kiasi cha kusababisha kuanzishwa kwa makundi mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii yakichochea wawili hawa kuoana na ikiwezekana kuzaa watoto haraka iwezekanavyo.
Katika pitapita zetu kwenye mtandao tuliweza kupata kauli hizi za watu mbalimbali wakimsifia Huddah kwa kauli yake hiyo huku wengine wakimuona kama ni shujaa….
“Umenifurahisha sana leo yaan had nime comment!!@huddahmonroe”
mmoja wapo aliandika… “Kuanzia leo nakupenda bureee....na nakufollow@huddahmonroe” mwingine aliongezea… “Nakupenda bureee Huddah we ni shujaa”… mwingine naye aliongezea huku wakidiriki kusema kuwa wawili hawa wakioana basi itakuwa kama siku ya mapumziko ya kitaifa kwao.
Bongo Kazi kweli kweli!
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.