Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti nje baada ya kulewa mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati zito.
Varangati hilo lililonaswa na kachero wetu lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Sinza- Afrika Sana jijini Dar.
Katika sinema hiyo ya bure, mrembo huyo alishuhudiwa akipigana na kila mtu aliyekutana naye mbele yake huku akivua nguo kuashiria kuwa ‘pombe si chai’.
Kuna wakati mwanadada huyo alikatiza barabarani bila kujali magari na nusura agongwe jambo lililosababisha mtafaruku wa foleni huku mwenyewe akidondoka kama ‘embe dodo’ lililoiva.
Baada ya timbwili hilo kuchukua takriban dakika 35, ilibidi wasamaria wema kuingilia kati na kumshika huku akiwapiga baada ya kuona huenda angeumizwa.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.