Featured Posts

MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU....!MAJIBU YA UKIMI YA MANAIKI SANGA YAWATOA MACHOZI MADEMU ALIOWAPITIA...!

Ama kwa hakika mwacheni aitwe Mungu Msanii aliyeshika ustaa namba moja Tanzania kwa skendo za picha za utupu Manaiki Sanga " The Don" amepima gonjwa hatari la UKIMWI na vipimo vimeosha hana kabisa dalili zozote za ugonjwa huo huku wanawake kadhaa wakifanya sherehe kwa tukio hilo.


Hata hivyo katika hatua nyingine inadaiwa kuna staa mmoja ndiye aliyemlazimisha Manaiki kwenda kupima UKIMWI ka makubaliano kama ataonekana mzima basi atampa penzi hivyo ilimlazimu Manaiki kufanya hivyo bila hiyana.

Taarifa za Manaiki kugundulika hana Ngoma zilianza kusambaa mji mzima baada ya kuvuja hali iliyowafanya mabinti mbalimbali walipitiwa na msanii huyo kufanya sherehe " Unaambiwa mara baada ya taarifa kuvuja kuwa Manaiki hana Ukiwmi wasichana walifurahi sana huku wengine wakiangua vilio kwa furaha kutokana na uvumi wa awali kuwa huenda Manaiki alikuwa sio mzima ndioa maana aliamua kutembea na wanawake wote hao.


Manaiki hadi sasa anaendelea kushikiria vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii na magazaeti pendwa kwa kashfa ya kutembea na wanawake zaidi ya mia nane bila kinga na kupiga nao picha za utupu kisha kusambazwa mitandaoni.

XDEEJAYZ ilimtafuta Manaiki Sanga kupitia simu yake ya mkono na kwa bahati nzuri alipatikana na kutoa kauri " Ndiyo nimepima kwa hiari yangu si unajua kujua afya yako ni kitu cha msingi katika maisha hivyo haikuwa shindikizo la mtu mimi mwenyewe niliamua tu kufanya hivyo" Alisema Manaiki ambae yuko Jijini Arusha kimaigizo


CREDIT: XDEEJAYZ

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.