Kigogo
mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, anayefanya kazi
katika kampuni ya simu za mkononi na mwanamke aliyetajwa kwa jina la
Mwamvua anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu wamerekodi video wakifanya uchafu
na ‘clip’ hiyo imevuja.
Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.
Alisema,
kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza video
hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake na
mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa mtu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,” alisema.
TUPIA MAONI YAKO HAPO CHINI
Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.
Inaelezwa
kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe muda
mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa kunasa
meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua.
Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika.
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitonya mnyetishaji wetu

Akaongeza: “Lakini
siku moja aliona picha ya huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye simu ya
mumewe. Alipoendelea kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha wapo kwenye
mahaba. Akaihamishia kwenye simu yake haraka kwa njia ya Bluetooth.”
“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema mnyetishaji wetu.
“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema mnyetishaji wetu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,” alisema.
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.