MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniela Mwingilwa
‘Penny’, ambaye ni mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond’ amesema yupo tayari kuchangia mapenzi na msichana mwingine
yeyote ambaye atachukuliwa na mwanaume huyo anayempenda.
“Ninampenda Diamond na sitaki kumpoteza. Nia yangu ni kumuona akiwa
na furaha. Kama Diamond anaona kuna msichana mwingine wa kutoka naye na
kwake hilo linampa furaha, basi mimi sina matatizo kwa sababu ninataka
awe na furaha, nitaendelea kuwa naye,” alisema Penny.
Kumekuwa na habari zisizo shaka kwamba Diamond na Wema wamerejesha
uhusiano wao na hivi karibuni walitupia picha katika mitandao ya kijamii
zilizowaonyesha wawili hao wakiwa katika mapozi ya kimahaba huko
Ughaibuni.
Ingawa bado Diamond anatoka na Penny, lakini kwa siku za karibuni
amekuwa karibu zaidi na mrembo huyo aliyetwaa taji la Miss Tanzania
mwaka
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.