Featured Posts

FILAMU HII YA NGONO YA WATANZANIA MIAKA YA NYUMA NDIO LAANA YA HIZI PICHA ZA UCHI MIAKA HII?!

 Hali inazidi kuwa mbaya katika nchi ya Tanzania baada ya kugubikwa na majanga mengi na kuchafua jina la nchi yetu asa ili madawa ya kulevya.hivi karibuni kumeibuka wimbi la vijana kujiingiza kwenye vitendo vya ngono.
Katika kudadavua na kupekenyua tumeweza kukutana na CD za ngono tena zilizofanywa na vijana wetu wa kitanzania bila kujali maadili ya nchi yetu vijana wamethubutu kuingia location na kufanya mkanda wa ngono na kuingiza mtaani na kuuza bila kuogopa maadili ya nchi yetu .

Jina la kampuni hiyo kama unavyoanza mkanda unasomeka VIDEO ENTERTAIMENT inawaletea bongosex from tz bila uoga wanachafua jina la nchi yetu .

Hii Aibu sasa bongo tumefikia kufanya filamu za ngono bila kujali magonjwa.
FILAMU HII IMECHEZWA MIAKA YA MWANZONI MWA 2000, LAKINI KUNA SWALI LINATUTATIZA WANA KANDILI,HIVI NI KWELI INAWEZEKANA FILAMU HII IKAWA NDIO LAANA YA KIZAZI HIKI CHA SASA KUTUPIA PICHA ZA UCHI KAMA DESTURI?!


TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
Share on Google Plus
    Facebook Comment
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.