Sijui ilikuwaje ila inavyoonekana ni mara baada ya tendo hilo la kijinga mwanaume huyu aliamua kuzihifadhi picha walizokuwa wakipigana kwenye simu, kisha baadae akaja kuzionyesha kwa rafiki zake na kuzituma kwa baadhi yao akiwafahamisha kuwa alifanya map3nz! na bosi wake (pichani chini) na ndivyo ambapo picha hizo zilipoweza kusambaa kwenye simu za watu mpaka kufika kwa wafanyakazi wa ofisi yao na kwa sasa wote wawili wamesimamishwa kazi.
Binafsi sielewi ni kwa namna gani zimeingia kwenye mitandao ya Ghana ambapo wawili hawa wanatokea ila ukweli ni kwamba si huko tu bali hadi hapa bongo zimetufikia. Tuwe makini na aina ya wap3nz! tunaotaka kuwa nao.
>>KUCHEKI PICHA BOFYA HAPA<<
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]

0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.