Katika mahojiano yake na gazeti moja
hapa jijini nimesikia aunt lulu akisema wanaume wamemla sana uroda bure
kwa miaka mingi sana bila faida, ila kwa sasa harudii kosa hilo ni
mwendo wa faranga kwa kwenda mbele, sincerely kwa hizo pics hapo juu
nani anaweza akawa na mwanamke kama huyu and shower her dollazzzz?? men
also haaaaa as they say one man's meat is another man's poison.
kwahio tusiliongelee sana ila wakati mwingine maneno tunayaongea ktk media yanafanya wasanii waonekane kituko katika jamii kabisa na akili zako na unajitambua wewe ni msanii unaweza ukaongea pumbaless kama hii na watu wakasoma na kukuelewa ??
WANAUME WAMENILA URODA BURE MIAKA MINGI SANA BILA FAIDA SASA HIVI SIRUDII KOSA NG'OO: ANT LULU!
hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi,
ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake
yaani nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God forbid. i do the seeking n u do the judging...

TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]

0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.