Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu
akielezea kuhusu msiba wa baba yake mzazi Balozi Abraham Isaac Sepetu
alipoongea na GLOBAL TV. Balozi Sepetu alifariki asubuhi ya Jumapili
Oktoba 27, 2013 katika hospitali ya TMJ jijini Dar na mwili wake unaagwa
leo nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi
yatakayofanyika kesho Visiwani Zanzibar.
Angalia hapa Video Hapo chini:
TUPE MAONI YAKO HAPO CHINI
[MATUSI HAYARUSIWI]
[MATUSI HAYARUSIWI]
0 comments:
Post a Comment
Note: only a member of this blog may post a comment.